Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda katika mkutano wa utekelezaji wa malengo makuu ya mapango kazi wa mwaka 2017/18 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wakurugenzi wa idara mbali mbali katika  Wizara ya Biashara na Viwanda  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo  katika mkutano wa utekelezaji wa malengo makuu ya mapango kazi wa mwaka 2017/18 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya Wakurugenzi wa idara mbali mbali katika  Wizara ya Biashara na Viwanda  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo  katika mkutano wa utekelezaji wa malengo makuu ya mapango kazi wa mwaka 2017/18 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar 
Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Balozi Amina Salum Ali (katikati) alipokuwa akichangia wakati wa  mkutano wa Uongozi wa Wizara hiyo wa  utekelezaji  wa malengo makuu ya mapango kazi wa mwaka 2017/18 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 ambapo Mwenyekiti wake alikuwa    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)  katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Nd,Hassan Khamis Hafidh
Katibu Mkuu wa  Wizara ya Biashara na Viwanda  Nd,Juma Ali Juma alipokuwa akitia ufafanuzi wakati alipokuwa akiwasilisha utekelezaji  wa malengo makuu ya mapango kazi wa mwaka 2017/18 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019  kwa Mwenyekiti wa mkutano wa Uongozi wa Wizara hiyo leo   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya  Biashara na Viwanda  Nd,Rashid Ali Salum alipokuwa akichangia wakati wa  mkutano wa Uongozi wa Wizara hiyo wa utekelezaji  wa malengo makuu ya mapango kazi wa mwaka 2017/18 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo chini ya Mwenyekiti wake   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ZSTC Dkt. Said Seif Mzee,  [Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.