Habari za Punde

Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Azungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar Apofika Kumuaka leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)  akisalimiana na  Mwakilishi wa Shirika la UNICEF anayefanyia kazi zake Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  baada ya kumaliza muda wake wa Kazi akifuatana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman (katikati)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (hayupo pichani) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na  Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Kimataifa la kusaidia Watoto Tanzania (UNICEF) Bibi Maniza S.Zaman (katikati)alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  Mwakilishi wa Shirika hilo Ofisi ya Zanzibar Bibi.Francesca Morandimi (kushoto) aliyefika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa Kazi,[Picha na Ikulu.] 20/06/2018.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.