Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Ferdina nd
Wambali kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Mwanaisha
Athuman Kwariko kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Dkt. Eliezer
Mbuki Feleshi kuwa Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu ya Tanzania.
Majaji watatu
walioapishwa wakila Kiapo cha Maadili Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza
kulia ni Jaji wa Mahakama ya Rufani Jaji Ferdinand Wambali akifatiwa na Jaji
Mwanaisha Athuman pamoja na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Jaji Dkt. Eliezer
Mbuki Feleshi
Majaji pamoja na
watendaji wa Mahakama Kuu pamoja na Mahakama ya Rufani wakifatilia tukio la
uapisho wa Majaji watatu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama ya
Rufani Jaji Ferdinand Wambali akizungumza mara baada ya kuapishwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Majaji watatu aliowaapisha Ikulu jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi, Jaji wa Mahakama
ya Rufani Jaji Ferdinand Wambali pamoja na Jaji Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko
mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment