Habari za Punde

Alama za Barabarani Kuongoza Watembea Kwa Miguu na Madereva wa Vyombo Vya Moto.

Alama ya Barabarani ikiwa imewekwa katika eneo la barabara ya kwalinatu kuelekea miembeni jirani na makutano ya barabara ya kariakoo Uwanja wa Watoto, Ikionesha alama ya Zebra na Picha ya Mtu ameshika muavuli akivuka barabara. Wananchi wengi wakijuulisha Alama hii inaashiria nini ikizingatiwa katika eneo hilo hakuna mchoro wowote wa kuonesha kuna sehemu ya kuvuka Watu kwa kutumia miguu. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.