Habari za Punde

Benki ya DTB Yatowa Elimu ya Kwa Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar Kujiongezea Kipato.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Benki ya DTB Ndg. Sylvester Bahati akizungumza na kutowa maelezo ya Huduma zinazopatikana kupitia benki yao, wakati wa Semina ya Siku Moja kuzungumza na Wajasiriamali na Wafanyabiashara wa Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Double Tree shangani Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya DTB Tanzania Ndg. Viju Cherian akizungumza wakati wa mkutano huo na Wajasiriamali na Wafanyabiashara Kisiwani Zanzibar wakati wa kubadilishana mawazo na kuwajengea uwezo wa kupata fursa kuendelea Biashara zao kupitia huduma zinazotolewa na DTB. mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Double Tree Shangani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.