Habari za Punde

DC Wilaya ya Mkoani azungumza na wananchi wa Shehia ya Uweleni

 WANANCHI wa shehia ya Uweleni wakiwa katika mkutano na uongozi wa kujadili changamoto zinazowakabili uliofanyika Mapinduzi Mkoani.
  Katibu Tawala Wilaya ya Mkoani Miza Hassan Faki akizungumza na wanachi wa shehia ya Uweleni katika mkutano wa kujadili matatizo yanayowakabili wananchi hao.
MKUU wa Wilaya ya Mkoani Issa Juma Ali akizungumza na wananchi wa Shehia ya Uweleni Mkoani katika Mkutano uwa kujadili changamoto zinazowakabili katika shehia yao.

PICHA ZOTE NA  HABIBA ZARALI 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.