LICHA ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kitengo cha usalama wa barabarani, kuwa wakali pale gari ya abiria inapojaza na kuning'iniza abiria, pichani gari ya abiria njia ya Wambaa ikiwa imepakia abiria kupitia kiasi hali inayohatarisha maisha ya wananchi.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment