Habari za Punde

Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani Yafana Kisiwani Zanzibar Katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Ikiwa na Ujumbe "UZAZI WA MPANGO NI HAKI YA BINADAMU"

Viongozi wa meza Kuu ikiongozwa na Mgeni rasmin Waziri wa Biashara Viwanda Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Mkurugenzi Mkaazi wa UNFPA Tanzania.Bi. Jacqueline Mahon, wakifuatilia utenzi maalum wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani ilioadhimishwa Kitaifa Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul -Wakil Kikwajuni Zanzibar. 
Wanafunzi wakisoma Utenzi Maalum wa kuadhimisha Siku ya Idadi ya Watu Duniani katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Mtakimwi Mkuu wa Serikali Bi Mayasa Mahfoudh akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.kabla ya kumkaribisha Mkurugenzi Mkaazi ya UNFPA Tanzania Bi. Jacqueline Mahon,kutowa salamu za UNFPA katika Maadhimisho hayo. 
Baadhi ya Viongozi wa SMZ wakifuatilia hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani ilioadhimishwa katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Mkurugenzi Mkaazi wa UNFPA Tanzania Bi. Jacqueline Mahon, akizungumza na kutowa Salamu za UNFPA wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani ilioadhimishwa Kitaifa Zanzibar katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said akizungumza na kutowa nasaha zake kuhusiana na Uzazi wa Mpango wakati wa hafla ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani ilioadhimishwa katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Ardhi Maji Nishati na Makaazi Zanzibar, Kaimu Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar  Mhe. Salama Aboud Talib akizungumza wakati wa hafla hiyo kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmin Waziri wa Biashara Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Waziri wa Biashara Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani, akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Hafla hiyo imefanyika Kitaifa katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Waziri wa Biashara Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali akihutubia wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Idadi ya Watu Duniani, akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Hafla hiyo imefanyika Kitaifa katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.