Habari za Punde

Maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba

 Mfanyakazi wa Kitalu cha mikarafuu cha Mwanatojo, bibi Mmanga Maulid, akijaza udongo katika vifuko vya kuatikia miche ya mikarafuu huko Kisiwani Pemba. 


Mkulima wa kitalu cha mikarafuu huko Kangani Pemba,akiwa pamoja na mawaziri wasiokuwa na wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Said Soud Said na Mheshimiwa Juma Ali Khatib wakati wa ziara yao ya kuangalia maendeleo ya uatikaji wa miche ya mikarafuu Katika mkoa wa Kusini Pemba. 

Picha na Khadija Kombo -Pemba 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.