Habari za Punde

Mahafali ya 16 ya Chuo cha Kiislam Zanzibar Yafana leo. Igizo la Wanachuo la Udhalilishaji Wanawake na Watoto Lawatowa Machozi Waalikwa

Mkuu wa Chuo cha Kiislam Zanzibar Dkt. Muhidyn Ahmad  Khamis akizungumza na kutowa maelezo ya Chuo cha Kiislam tangu kuazishwa kwake hadi leo, wakati wa Mahafali ya 16 ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo Mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Wageni waalikwa katika Hafla ya Mahafali ya 16 ya Chuo Cha Kiislam Mazizini Zanzibar wakifuatilia maelezo ya Mkuu wa Chuo cha Kiislam Mazizini Zanzibar Dkt. Muhidyn Ahmad Khamis akizungumza wakati wa mahafali hayo.katika viwanja vya chuo mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.