Habari za Punde

Michuano wa FA Kombe la Dk. Shein Zanzibar.Kati ya Mlandege na Kundemba Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege Imeshinda Bao 2-1.Kusonga Mbele Hatua ya Pili.

Mashabiki na Wapenzi w Timu za Mlandege na Kundemba wakiwa katika jukwaa moja wakifuatilia Mchezo wa Kombe la Dk. Shein FA, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege meshinda mchezo huo kwa mabao 2-1. 
Mshambuliaji wa Timu ya Kundemba akijaribu kumpita Beki wa Timu ya Mlandege wakati wa Mchezo wao wa Michuano ya Komba la Dk. Shein FA Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.