Habari za Punde

Usafiri wa Abiria Kisiwani Zanzibar Kati ya Pemba na Unguja Wakiwasili Katika Bandari ya Forodhani.

Meli ya Kampuni ya Azam Marine Sea Link 2 ikiwasili katika Bandari ya Forodhani Zanzibar ikitokea Kisiwani Pemba ikiwa katika safari zake za kawaidi kutowa huduma ya Usafiri kwa Wananchi wa Unguja na Pemba kupitia meli zake hizo. Kurahisisha usafiri wa pande hizo mbili kupunguza kero ya usafiri. 
Wachukuzi wa mizigo katika Bandari ya Forodhani Unguja wakiwa katika Bandari hiyo wakisubiri Meli ya Sea Link 2 kufunga gati katika bandari hiyo ikitokea Kisiwani Pemba.

Wananchi wakishuka katika Meli ya Sea Link 2 baada ya kufunga gati katika Bandari ya Forodhani Zanzibar ikitokea kisiwani Pemba.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.