Picha za benchi la ufundi likiwasili Uturuki, likiongozwa na Kocha Msaidizi, Masoud Djuma.
Wachezaji wa Timu ya Simba wakipata chakula cha usiku katika Hoteli waliyofikia nchini Uturuki kwa ajioli ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara pamoja na michuano ya kimataifa.
No comments:
Post a Comment