Habari za Punde

Ujenzi wa Viwanja Vya Michezo Vya Mao Vikiwa Hatua za Mwisho ya Ujenzi Wake Zanzibar.

Kiwanja cha mchezo wa Mpira wa Mikono Basket Ball na Netball ukiwa umekamilikaujenzi wake unaojengwa katika eneo la Uwanja wa Mao Zanzibar kama unavyoonekana pichani ukiwa umekamilika kwa asilimia mia moja.


Uwanja wa Mpira wa Miguu katika Uwanja wa Mao ukiwa umekamilika ujenzi wake na kuendelea na ukamilishaji wa baadhi ya maeneo ya Uwanja huo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.