Habari za Punde

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA KOREA LEE NAK-YON AONDOKA NCHINI BAADA YA ZIARA YA SIKU TATU

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - yun wakifurahia burdani ya kikundi cha matarumbeta kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere wakati mgeni huyo alipoondoka nchini Julai 23, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na mgeni wake Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak-yon wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam baada ya ziara ya siku tatu nchini

Ndege iliyombeba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea, Lee Nak - yun ikiruka kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere baada ya kiongozi huyo kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini Julai 23, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.