Habari za Punde

Uzinduzi wa Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba

 MJASIRIAMALI wa Halua kutoka mjini Chake Chake Mohamed Swaleh, akitoa maelezo ya ulaji wa halua na kahawa kwa viongozi mbali mbali wa serikali, wakati walipotembelea katika banda lake la maonyesho ya biashara za wajasiriamali katika tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akiangalia moja ya mikoba inayotengenezwa na moja ya vikundi vya wajasiriamali wa Pemba, huko katika Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali,akiangalia moja ya bidhaa za chakula inayotengenezwa na moja yavikundi vya wajasiriamali wa Pemba, huko katika Tamasha la
Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katikaviwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akipata malezo kutoka kwa mmoja wa watendaji wa taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS, wakati alipotembelea katika banda lao
wakati wauzinduzi wa Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akichukua moja ya vipeperushi vinavyopatikana kutoka katika banda la Taasisi ya Viwango Zanzibar ZBS, wakati wa uzinduzi wa
Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akiangalia moja ya bidhaa zinazotengenezwa na Mjasiriamali Nass Produts Chake Chake, wakati alipotembelea banda la mjasirimali huyo wakati wa uzinduzi Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akipata malezo juu ya Mtepe kutoka kwa mkuu wa idara ya mambo ya kale Pemba, Khamis Juma wakati alipotembelea eneo la mambo ya kale wakati wa Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa habari Utalii na mambo ya Kale Zanzibar Mahmoud Thabiti Kombo, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akizungumza na wananchi na wajasirimia mali mbali mbali katika Tamasha la Utalii, Utamaduni na Biashara Pemba, lililofanyika katika viwanja vya michezo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.