Habari za Punde

Wananchi Katika Eneo la Kianga Wakiangalia Ajali ya Gari Zilizogongana Uso Kwa Uso. Daraja la Pili Njia ya Kianga.

 Wananchi wakitoa Msaada Kwa majeruhi wa ajali hiyo ikitokea Njia ya Kianga daraja la Pili Kati ya Gari Noah na minibus Zilizogongana Uso Kwa Uso.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.