Habari za Punde

Huduma za Benki ya Azania Kivutio Kwa Wadau wa Mkutano Mkuu wa Nne wa ZSSF Viwanja Vya Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Senior Manager Retail &Banking Azania Bank Mr. Jackson Lohay akizungumza na kutowa maelezo ya huduma zinazopatikana kupitia Benki ya Azania kwa Wananchi na Wateja wao akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa ZSSF Mobile App na kuadhimisha Miaka 20 pamoja na Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau wa Mfuko wa Jamii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. Azania Benk ni wadau wa Mfuko wa Jamii Zanzibar hutuoa huduma mbalimbali kwa Wanachama wa ZSSF.
Maofisa wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia maelezo ya Mwakilishi wa Benki ya Azania wakati akitowa maelezo na fursa zinazopatikana kupitia Benki hiyo wakati wa Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau wa Mfuko huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar. 
Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Nne wa Wadau wa ZSSF uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadfau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakati Mwakilishi wa Benki ya Azania akitowa maelezo na fursa zinazotolewa na benki hiyo.
Senior Manager Retail &Banking Azania Bank Mr. Jackson Lohay, akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Wadau wa Mfuko wa ZSSF.
Meneja Masoko wa Benki ya Azania Tanzania Bi. Diana Balyagati na Meneja Uhusiano wa Benki ya Azania Bi. Modester Maziba, wakimsilikiza Mdau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar alipotembelea banda lao na kupata maelezo ya kujiunga na Benki hiyo na fursa zinazotolewa kupitia kwa wateja wao wa ZSSF.
 Meneja Uhusiano wa Benki ya Azania Bi. Modester Maziba,akitowa maelezo kwa Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar walipotembelea banda lao katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
 Meneja Uhusiano wa Benki ya Azania Bi. Modester Maziba, akitowa maelezo kwa Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar walipotembelea banda lao katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Meneja Masoko wa Benki ya Azania Tanzania Bi. Diana Balyagati, akitowa maelezo kwa Wadau wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF,walipotembelea banda la Benki ya Azania katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar wakati wa hafla ya Mkutano Mkuu wa Nne wa Wadau wa ZSSF Zanzibar. 
Meneja Uhusiano wa Benki ya Azania Bi. Modester Maziba, akitowa maelezo kwa Mdau wa Mfuko wa ZSSF alipotembelea banda lao kupata maelezo ya huduma zinazotolewa na Benki ya Azania Tanzania wakati wa hafla hiyo wakiwa katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.kushoto Meneja Masoko wa Benki ya Azania Tanzania Bi. Diana Balyagati

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.