Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Chomachankola wilayani Igunga akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Tabora
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo mipya ya kuchambua pamba inayofungwa katika kiwanda cha Manonga wilayani Igunga akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Tabora Agosti 16, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tabora, Aggrey Mwanri
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama eneo inaposimikwa mitambo mipya ya kuchambua pamba katika kiwanda cha Manonga wilayani Igunga wakati alipokitembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Tabora, Agosti 16, 2018. Kiwanda hicho ambacho kilisimamisha uzalishaji miaka 25 iliyopita kimefufuliwa na wamiliki wake , Chama Kikuu cha Ushirika cha mkoa wa Tabora, Igembensabo na Kampuni ya M/S Rajani Metals and Machinery kutokana na hamasa kubwa ya uchumi wa viwanda inayofanywa na serikali.
Wafanyakazi wa kiwanda cha kuchambua pamba cha Manonga wilayani Igunga wakichapa kazi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokitembelea kiwanda hicho akiwa katika ziara ya kikazi mkoa wa Tabora, Agosti 16, 2018. Kwanda hicho ambacho kilisimamisha uzalishaji miaka 25 iliyopita kimefufuliwa na wamiliki wake , Chama Kikuu cha Ushirika cha mkoa wa Tabora, Igembensabo na Kampuni ya M/S Rajani Metals and Machinery kutokana na hamasa kubwa ya uchumi wa viwanda inayofanywa na Serikali
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment