Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba leo.

 MKUU wa Wilaya ya Wete Pemba Abeid Juma Ali akizungumza na vijana wa vikundi vya ushirika wa kilimo katika mkutano wa kibiashara kwa vikundi vya wanawake na vijana ,uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji Chakechake.

VIJANA wa vikundi vya ushirika vya kilimo kusiwani Pemba  wakiwa katika mkutano wa kibiashara kwa vikundi vya wanawake na vijana ,uliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Mji Chakechake. Picha na HABIBA ZARALI.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.