Habari za Punde

Rais wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa zungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoongozwa na Spika Mhe.Job Ndugai (wa nne kulia) baada ya mazungumzo  ujumbe huo ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo, [Picha na Ikulu.] 17/08/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.