Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba

 WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akiwapungia mikono vijana wakati walipokuwa akipokea maandamano ya vijana, yalioanzia Machomanne hadi Uwanja wa Gombani mjini Chake Chake
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akizungumza wakati wa siku ya Vijana duniani huko katika uwanja wa michezo Gombani.
WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali karume, akizungumza na vijana mbali mbali wa kisiwa cha Pemba katika shamra shamra kuelekea siku ya Vijana Duniani huko katika viwanja vya Gombani Chake Chake Pemba.
 (Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.