Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Atembelea Vikundi Vya Wajasiriamali Nchini Indonesia.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi alipotembelea Viwanda vidogovidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi alipotembelea Viwanda vidogovidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipokuwa akitembelea Bidha mbali mbali alipotembelea Viwanda vidogo vidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi wakati alipotembelea bidha mbali mbali zilizozalishwa na Viwanda vidogovidogo vya wajasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.