Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli Aongoza Kikao Cha Kamati Kuu ya Chama Katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa mara baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika Ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 14/08/2018.
Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.