Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Aendelea na Ziara Yake Nchini Indonesia Akitembelea Kiwanda Cha Samaki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda wa  Kiwanda cha Uvuvi Perun Perikanan Nchini Indonesia akipotembelea Kiwanda hicho leo kuangalia maendeleo ya kazi zake katika kuzindika Samaki wa aina mbali mbali katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi na baadhi ya watendaji katika   Kiwanda cha Samaki cha  Perun Perikanan Nchini Indonesia wakati alipofanya ziara ya kutembelea Kiwanda hicho pamoja na Ujumbe aliofutana nao katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi aliofuatana nao katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha Samaki Perun Perikanan Nchini Indonesia pamoja na Mwenyeji wake  Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda (wa pili kulia) katika  ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau,na Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe,Amina Salum Ali.,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyeji wake  Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Samaki Perun Perikanan cha Jakarta Nchini Indonesia Nd,Risyanto  Suanda,wakati alipotembelea Kiwanda hicho jana akiwa  katika  ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla, na Ujumbe wake.
 Mkurugenzi Mtendaji Nd,Risyanto  Suanda,katika Kiwanda cha Samaki cha Perua Perikanan kiliopo nje ya Mji wa Jakarta Nchini Indonesia alipokuwa akitoa shukurani kwa Ujio wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe wake  jana walipotembelea kiwandani hapo katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
  Mkurugenzi Mtendaji Nd,Risyanto  Suanda,katika Kiwanda cha Samaki cha Perua Perikanan kiliopo nje ya Mji wa Jakarta Nchini Indonesia akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) baada ya mapokezi na mazungumzo   pamoja na Ujumbe wake  jana walipotembelea kiwandani hapo katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indinesia Mhe.Balozi Ramadhan Kitwana Dau (katikati) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda (kushoto) wa Kiwanda cha Samaki kiliopo Perusahaan Umum kinachojulikana kama Perun Perikanan Nchini Indonesia wakiwepo na  Viongozi wengine aliofuatana nao katika ziara ya kutembelea Kiwanda cha Samaki hicho jana akiwa  katika  ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
 Baadhi ya wafanyakazi katika Kiwanda cha Samaki  cha Perusahaan Umum kinachojulikana kama Perun Perikanan Nchini Indonesia wakiwa katika harakati mbali mbali za kazi zo ikiwemo kuwapima samaki wanaofika kutoka kwa wavuvi wanaofika na bidhaa zao kiwandani hapo kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake alipotembelea jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
 Baadhi ya wafanyakazi katika Kiwanda cha Samaki  cha Perusahaan Umum kinachojulikana kama Perun Perikanan Nchini Indonesia wakiwa katika harakati mbali mbali za kazi zo ikiwemo kuwapima samaki wanaofika kutoka kwa wavuvi wanaofika na bidhaa zao kiwandani hapo kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake alipotembelea jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.,
 Baadhi ya Boti za Uvuvi zikiwa karibu na Kiwanda cha Samaki cha Perun Perikanan Nchini Indonesia kiliopo katika Mji wa Perusahaan Umum,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake alipotembelea jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
 Majengo Pichani sehemu ya Kiwanda cha Samaki cha Perun Perikanan Nchini Indonesia kiliopo katika Mji wa Perusahaan Umum,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake alipotembelea kiwanda hicho jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiwa na Viongozi katika Kiwanda hicho alipotembelea sehemu mbali mbali kuangalia kazi zinavyoendelea pamoja na  ujumbe wake alipotembelea kiwanda hicho jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla.
Minofu ya Samaki Ikitengenezwa katika Kiwanda Hicho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Viongozi katika Kiwanda hicho alipotembelea sehemu hii  kuangalia samaki ambao tayari wakitaka kutengenezwa kadri kazi zinavyoendelea pamoja na  ujumbe wake alipotembelea kiwanda hicho jana katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohammed Jusuf Kalla,{Picha na Ikulu,} 02/08/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.