Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na kufanya mazingumzo na Balozi wa Burundi nchini


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Gervais Abayeho alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.] 20/08/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.