Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na kuzungumza na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba,(kulia) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indonesia Balozi Ramadhan Kitwana Dau,[Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba, [Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo ya pamoja na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba,[Picha na Ikuklu.] 02/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo ya pamoja na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba,[Picha na Ikuklu.] 02/08/2018. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)  alipokuwa akiiuliza suala kwa Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) (hawapo pichani) wakati wazungumzo yaliyofanyika jana katika  Ofisi za Jumuiya hiyo ziliopo Mjini  Jakarta Indinesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba,[Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.   
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN)Bw.Rosan  P.Roeslan (kulia)  pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Jumuiya hiyo jana katika ukumbi wa Ofisi hiyo uliopo Mjini Jakarta Indonesia  katika mkutano wa siku moja,katika  ziara ya muaaliko wa Makamo wa Rais Mohammed Jusuf Kalla,  [Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Mwani ya ASOSIASI RUMPUT LAUT INDONESIA (ARLI) Bw.Safari Azis mara baada ya Mkutano wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda katika Ofisi za Jumuiya hiyo Jakarta Nchini Indonesia akiwa katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla,(katikati) Bw.HermanMoeliana Mkurugenzi Mkuu waPT INTERA LESTARI POLIMER, [Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) alipokuwa akiangalia mifuko inayotengenezwa kwa kutumia Unga wa Muhogo mara baada ya mazungumzo na  Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) katika Ofisi za Jumuiya hiyo ziliopo Jakarta Indinesia akiwa katika ziara ya mualiko wa Indonesia Mohamed Jusuf Kalla,wengine(kushoto)  Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara  na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN), [Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.