Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika ukumbi wa
Mikutano wa Halmashauri ya Chato kwa ajili ya mkutano na Madiwani, Viongozi
mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Madiwani, Viongozi
mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato katika mkutano
uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri Semeon(kushoto)
na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke(kulia).
Baadhi
ya Watumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Chato wakifatilia kwa makini wakati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
alipokuwa akizungumza masuala mbalimbali katika ukumbi wa Halmashauri hiyo
Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya
Wilaya ya Chato mara baada ya kumaliza mkutano huo na Madiwani, Viongozi
mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato. Wengine
katika picha ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Christian Manunga
wapili kutoka (kulia) mstari wa kwanza mbele, Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng.
Mtemi Msafiri Semeon watatu kutoka (kulia), Waziri wa Nishati na Madini Dkt.
Medard Kalemani, wanne kutoka (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mara baada ya mkutano huo
uliofanyika katika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani
Geita. Wengine katika picha mstari wa mbele ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya
ya Chato Christian Manunga wakwanza kutoka (kulia) mstari wa kwanza mbele, Mkuu
wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri Semeon wapili kutoka (kulia), Waziri wa
Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani wapili kutoka kushoto pamoja na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Madiwani pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato wakatika akiondoka katika Ofisi za Halmashauri hiyo Chato mkoani Geita.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment