Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Akitembelea Sehemu za Historia ya Bali Nchini Indonesia.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana naMkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara (kushoto) alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,wengine (kushoto) Balozi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Nchini Malaysia na akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Dkt,Ramadhan Kitwana Dau na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara (kulia) alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia kuangalia alama za Utamaduni wa Watu wa Mji huo akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Dkt,Ramadhan Kitwana Dau
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia kuangalia alama za Utamaduni wa Mji wa Bali  katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara,Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine katika ujumbe wake  walipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia,wakifurahia kwa makofi baada ya kupata burudani ya Ngoma za Utamaduni
Vijana wa Kike kikundi maalum wakitumbuiza kwa wakicheza Ngoma kiutamaduni wa nchi hiyo katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia,kwa kumuonesha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na ujumbe wake (hawapo pichani) walipotembelea eneo hilo wakiwa katika  ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiagana mwenyeji wake  Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(kulia)  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Dkt,Ramadhan Kitwana Dau ,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.