Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa,Fedha na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) alipokuwa akiagana na Ujumbe wa Timu ya Wataalam kutoka serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kumaliza ziara yao nchini ya kuja kutembelea sehemu mbali mbali kufuatia ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika nchi za Umoja huo Mwanzoni kwa mwaka huu.[Picha na Ikulu.]
NMB yabeba huduma za benki hadi kwa mteja popote alipo
-
Benki ya NMB imesema itaendelea kuwekeza kwenye mifumo ya kidijitali ili
kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania, ikiwa ni sehemu
ya mka...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment