Habari za Punde

Usiku wa ZSSF Wafana Katika Viwanja Vya Watoto Kariakoo Zanzibar Wakati wa Hafla ya Chakula Cha Usiku.

Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuo wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Bi. Sabra Issa Machano akitowa maelezo ya Mfuko na changamoto wanazopambana nazo na mafanikio waliofikia katika Kipindi chote cha Miaka 20 ya Mfuko kwa kuazisha Miradi mbalimbali, hafla hiyo maalum kwa ajili ya kuadhimisha Miaka 20 ya Mfuko na kuwapongeza Wafanyakazi wake kwa hafla hiyo iliofanyika katika Viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar Mgeni Rasmin Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF wakimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko huo Bi. Sabra Issa Machano akizungumza wakati wa hafla maalum ya chakula cha usiki kilichofanyika katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar.  
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akiwahutubia wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar na kutowa nasaha zake na kuwapongeza kwa mafanikio ya mfuko huo wakati wa chakula cha usiku cha kuadhimisha Miaka 20 ya ZSSF kilichofanyika katika viwanja wa Watoto Kariakoo Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Chakula cha Usiku cha kuadhimisha Miaka 20 ya ZSSF zilizofanyika katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Chakula cha Usiku cha kuadhimisha Miaka 20 ya ZSSF zilizofanyika katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar.
Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Seif Shaban Mwinyi akitowa neno la shukrani wakati wa hafla ya chakula maalum cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili ya Wafanyakazi na kuadhimisha miaka 20 ya mfuko huo.
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya chakula cha usiku wakiadhimisha miaka 20 ya ZSSF tangu kuazishwa kwake Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Bi. Sabra Issa Machano akiwa na Wafanyakazi wa ZSSF wakishangilia wakati wa kukata keki ya miaka 20 ya ZSSF katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar, mgeni rasmin Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Bi. Sabra Issa Machano akiwa na Wafanyakazi wa ZSSF wakishangilia wakati wa kukata keki ya miaka 20 ya ZSSF katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar, mgeni rasmin Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akikata keki kuashiria kuadhimisha miaka 20 ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar, kulia Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Bi.Sabra Issa Machano, hafla hiyo imefanyika katika viwanja wa Watoto Kariakoo Zanzibar.  . 

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimkabidhi kipande cha keki Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar Bi. Sabra Issa Machano wakati wa hafla hiyo ya kutimiza miaka 20 ya kuazishwa kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF,hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Watoto Kariakoo Zanzibar usiku.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Bi. Sabra Issa Machano akikata keki ya maadhimisho ya Miaka 20 ya Mfuko wa ZSSF kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. wakiwa na Wafanyakazi wa ZSSF wakishangilia wakati wa tukio hilo.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.