Habari za Punde

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman Atembelea Ofisi ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Vuga Zanzibar.

Katibu Mtendaji wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Mhe. Kubingwa Mashaka Simba akitowa maelezo ya utendaji wa Ofisi yake kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar. Mhe Haroun Ali Suleiman, alipotembelea Ofisi hiyo ilioko chini ya Wizara yake na kuzungumza na Watengaji wake 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza na Uongozi na Wafanyakazi wa Ofisi ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar wakati wa ziara yake kutembelea Ofisi hiyo ilioko chini ya Wizara yake. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Wafanyakazi na Uongozi wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar , alipofika Ofisini kwao Vuga akiwa katika ziara yake kutembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara yake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.