Habari za Punde

Wachezaji wa Timu ya Simba Wakitoa Msaada wa Vyakula Kwa Watoto wa Kituo cha Yatima Dar es Salaam Shamrashamra za Siku ya Siba Day Kesho. 8-8-2018.

 Taasisi ya Mo Dewji kwa kushirikiana na klabu ya Simba wametoa msaada wa viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Rabi HumeNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.