Habari za Punde

Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar ZSSF Yaadhimisha Miaka 20 Kwa Usafi wa Mazingira Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar.

Mkurugenzi Utawala na Uendeshaji Hospital ya Mnazi Mmoja Zanzibar Ndg. Abubakari Khamis Hamad, akizungumza na Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) katika viwanja vya Hospitali Kuu ua Mnazi mmoja wakati walipofika kwa ajili ya ufanyaji wa usafi wa mazingira katika maeneo ya hospitali hiyo.Ikiwa ni kuadhimisha miaka 20 ya kuazishwa kwake Zanzibar. 
 Afisa Uhusiano wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Bi. Raya akiwa na Wafanyakazi wa ZSSF katika viwanja vya Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa akili ya kuadhimisha miaka 20 ya kuazishwa kwa Mfuko huo kwa shughuli za usafi wa mazingira ya maeneo ya Hospitali hiyo. 
Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar wakiwa katika maeneo ya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja wakifanya usafi wa mazingira katika maeneo hayo ya Hospitali wakiadhimisha miaka 20 ya ZSSF. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.