Habari za Punde

Waziri Aboud atembelea shehia ya Mjini Ole

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, akizungumza na viongozi  wa Tasaf Pemba na Walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya masikini Shehia ya Mjini Ole, mara baada ya kutembelea shamba darala la kilimo cha Halizeti huko katika bonde la Magereza Mjini Ole.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, akikagua kilimo cha Halizeti katika shamba darasa la walengwa wa mpango wakunusuru kaya masikini shehia ya Mjini Ole, huko katika bonde la Magereza Mjini Ole .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed, akiangalia moja ya Vitunguu Maji vilivyolimwa na vijana wa baraza la Vijana shehia ya Mjini Ole, huko katika bonde la magereza Mjini Ole wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.