Habari za Punde

Maajabu ya Ndege Mwenye Mguu Mmoja Zanzibar.

Pita pita yangu katika maeneo mbalimbali ya mitaa ya Unguja nimebahatika kukutana na ndege huyu katika Uwanja wa Amaan na kubahatika kupata picha yake. na kuone maumbile yake akiwa na mguu mmoja wakati akiwa amnetua na kujitafutia chakula katika eneo nililokuwa karibu na kubahatika kupata picha yake hii.
Ili nitoe fursa kwa wananchi wengine kuona maajabu hayo ya ndege huyu akiendelea na maisha yake katika maeneo mbalimbali ya visiwa vya unguja. No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.