Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Aaza Ziara Yake Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya kuchakata dagaa kutoka kwa mmoja wa wachakataji Bi. Mwajuma Bakari Shingo wakati alipotembelea mwalo wa Muyobozi uliopo wilayani Uvinza mkoani Kigoma. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali mtoto Athuman mwenye umri wa wiki mbili aliyelazwa katika kituo cha afya cha Uvinza, aliyembeba mtoto ni mama wa mtoto Esil Amour, Makamu wa Rais alitembelea kituo cha afya cha Uvinza ambapo kuna mradi wa upanuzi wa ujenzi wa kituo hicho
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Ruchugi kitongoji cha Kibaoni ikiwa sehemu ya ziara yake wilayani Uvinza mkoani Kigoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.