Habari za Punde

Muonekano wa Marikiti Kuu ya Darajani Eneo Viwanja Vya Mnada wa Ndizi Zamani Katika Marikiti Hiyo.

Muonekano wa Marikiti Kuu ya Darajani Zanzibar zamani eneo hili lilikuwa ni seheme ya mnada wa kunadishwa Ndizi na Nazi kwa Wakulima wanaofika katika marikiti hiyo kwa ajili ya kuuzia bidhaa zao. Kwa sasa eneo hilo limebadilika kama linavyoonekana kwa sasa ni sehemu ya kuuzia Spices za aina mbalimbali na baadhi ya ndizi na bidhaa nyengine. 
Wageni mbalimbali wanaofika katika Visiwa vya Zanzibar wakati wakitembelea maeneo mbalimbali ya historia ya Zanzibar na kufika katika eneo la Marikiti Kuu ya Darajani ili kupata historia ya eneo hilo na kupata bidha kwa ajili ya zawadi na kumbukumbu ya kufika katika Visiwa vya Marashi ya Karafuu Zanzibar. wakinunua spices katika marikiti hiyo ya darajani Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.