Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Ziarani Mkoani Dodoma

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi wa Kata ya Pahi Wilayani Kondoa,wakati wa ziara yake ya Kikazi katika Mkoa wa Dodoma  akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma, 
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, akiwa kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akitembelea ujenzi wa jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akitembelea ujenzi wa jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji Kondoa, kwenye ziara ya kikazi Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, akitembelea moja ya darasa la Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Mhe. Majaliwa, akimsikiliza mwanafunzi wa kidato cha sita Veronica Sharma wa Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipanda mti kwenye Shule wa wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia mti alioupanda mwaka 2012 kwenye Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya wasichana ya Kondoa Mkoani Dodoma, alipotembelea shule hiyo Septemba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.