Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika
viwanja vya Meatu mjini kwa ajili ya kuhutubia katika mkutano wa hadhara
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi wa Meatu mjini mkoani Simiyu
mara baada ya kuwasili wakati akitokea Bariadi.
Sehemu ya Wananchi
wa Meatu wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli wakati alipokuwa akizungumza katika viwanja vya Meatu mjini.

Ngoma ya kichungaji
ya Budimi ya Meatu ikitoa burudani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Meatu mjini mkoani Simiyu.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment