Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman (kushoto)
wakati Mkurugenzi huyo na ujumbe wake walipotembelea Makao Makao Makuu ya
Polisi na kufanya kikao na Maofisa Wakuu wa Polisi kwa lengo la kuweka mikakati
ya kuzuia na kupambana na rushwa. Wengine ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Brigedia
Jenerali John Mbungo na Kamishna wa Utawala na Raslimali watu Albert Nyamhanga
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman wakizungumza na
Maofisa Wakuu wa Polisi waliopo Makao Makuu ya Polisi wakati wa kikao cha
kuweka mikakati ya kuzuia na kupambana na rushwa
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
Kamishna Diwani Athuman wakiwa katika picha ya pamoja na Maofisa na Viongozi
wengine baada ya kumaliza kikao kwa lengo la kuongeza kasi katika kuzuia na
kupambana na rushwa.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro
akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Kamishna Diwani Athuman baada ya
kumaliza kikao na Maofisa Wakuu wa Polisi Makao Makuu ya Polisi kwa lengo la
kuongeza kasi katika kuzuia na kupambana na rushwa. (Picha na Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment