Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akitembelea Miradi ya Maendeleo Kisiwani Pemba.Akitembelea Kituo Cha Amali Vitongoji Wawi.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Juma Pembe akitowa maelezo Pili wa Rais wa Zanzibar kuhusiana na Kituo cha Elimu ya Amali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balosi Seif Ali Iddi , alipotembelea Kituo cha Amali Vitongoji Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo mbalimbali ilioko Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.