Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Azungumza na Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar, Katika Hafla ya Kubadilisha Mawazo Hoteli ya Park Hyatt Shangani Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano w Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakati wa hafla ya kubadilishana mawazo kwa Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar, yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Park Hyatta Shangani Zanzibar. 
Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na Washiriki wa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar wakati wa hafla ya kubadilishana mawazo iliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii Park Hyyat Shangani Zanzibar. akiutambulisha Uongozi wa Kamati ya Maandalishi ya Maonesho ya Utalii Zanzibar. 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Washiriki wa Tamasha la Maonesho ya Kimataifa ya Utalii Zanzibar katika viwanja vya Park Hyyat Shangani Zanzibar. wakati wa hafla ya mazungumzo ya washiriki hao kutoka sehemu mbalimbali kubadilisha mawazo kukuza Utalii wa Zanzibar na Nje ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.