Habari za Punde

Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge Uwanja wa Mkwawani Mkoani Tanga.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nd,Charles Francis Kabeho katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu  Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Muhagama wakati alipowasili katika  Uwanja wa Tangamano kutembelea mabanda mbali mbali ya maonesho  ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo  sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akifuatana na Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Muhagama wakati alipowasili katika  Uwanja wa Tangamano kutembelea mabanda mbali mbali ya maonesho  ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo  sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga
Vijana wa halaiki wakionesha mitindo yao katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na  na Wiki ya Vijana Kitaifa   zilizofanyika leo  katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika  Jiji la Tanga
Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika  Jiji la Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Habibu Mohamed Mfugaji wa Kuku aina ya Silk kutoka Nchini India wenye thamani kubwa wakati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nd,Habibu Mohamed Mfugaji wa Kuku aina ya Silk kutoka Nchini India wenye thamani kubwa wakati alipokuwa akitembelea maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Nuru Zaphenia wakati alipotembelea banda la Vijana wabunifu wa mambo mbali mbali katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Say Charles wakati alipotembelea banda la Vijana wabunifu wa mambo mbali mbali katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Dk.Pancras M.S.Bujulu (VETA) wakati alipokuwa akiangalia gari alilotumia Mwalimu Nyerere katika harakati za kupigania Uhuru katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kushoto) akimsikiliza Vicky P.Bishubo kutoka NMB Bank wakati alipotembelea banda la Benki hiyo katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano sambamba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) akiuliza suala kwa Mtaalam wa Mtandao David Senkoro wakati alipotembelea banda la Vijana wa CCM Tanga katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Tangamano samba mba na sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoa Tanga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimsikiliza Nd,Sakum Issa Ameir katika Banda la Vijana kutoka Baraza la Vijana Zanzibar   katika maonesho maalum ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika uwanja wa Tangamano Jijini Tanga,sambamba  na  sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere   zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.