Habari za Punde

Uzinduzi wa Tovuti ya maktaba kisiwani Pemba

 Khamis Juma Khamis akizindua tovuti ya maktaba www.zls.go.tz, wakati wa kongamano la uzinduzi huo, kwa lengo la kuwafanya watumiaji wa huduma za maktaba kuweza kutafuta vitu mbali mbali kupitia mtandao huo(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 Khamis Juma Khamisi akiwaonyesha washiriki wa kongamano na uzinduzi wa Tovuti ya maktaba, jinsi mtandao wa maktaba unavyoweza kufanya kazi zake kwa kupata vitu mbali mbali vya kujisomea(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya elimu na mafunzo ya amali Pemba Mohammed Nassor Salim, akizungumza katika uzinduzi wa tovuti ya maktaba na kongamano lake lililofanyika katika ukumbi wa maktaba kuu ya Pemba(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.