Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiwa Ziarani Kisiwani Pemba.

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akisalimiana Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mberwa Hamad Mberwa, wakati alipofika katika skuli ya maandalizi Maziwa ngombe kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la Msingi skuli hiyo
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika skuli ya maandalizi Maziwangombe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa kaskazini PembaNo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.