Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamino.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,  Dkt. Bilinith Mahenge wakati alipozungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Chamwino kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisoma majina ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino  ambao hawaishi kwenye Kituo chao cha kazi cha Chamwino badala yake wanaishi jijini Dodoma. Alikuwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri hiyo kwenye viwanja  vya Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Chamwino
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Chamwino,    Vumilia Nyamoga ordha ya watumishi  ambao hawaishi kwenye  kituo chao cha kazi cha Chamwino na badala yake wanaishi jijini Dodoma. Alikuwa katika mazungumzo na watumishi  wa Halmashauri  hiyo kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati  alipozungumza nao kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo,
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati  alipozungumza nao kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo,
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Chamwino wakimshangilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipowasili kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo kuzungumza na watumishi hao, Oktoba 20, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.