Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Tamasha la Urithi wa Mtanzani Mkoani Arusha leo.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitembelea banda la Maliasili na Utalii katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, akiangalia bidhaa ya asili katika banda la wajasiriamali katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, kutoka kushoto ni Bibi Eliamulika Ayo, Naibu Waziri Maliasili na Utalii Josephat Hasunga.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea zawadi ya ngoma na kikombe kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Wasanii Arusha Fred Thomas, wakati akikagua mabanda kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, wakiangalia bidhaa ya bidhaa iliyobuniwa na mwanadada Glory Silayo (kushoto), katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea maandamano, katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha 
Kikundi cha Sanaa cha Ngoma ya Waadzabe kikitoa burudani katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha 
Mwanamuziki Faustina Charles (Nandi) akikitoa burudani katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha 
Naibu Waziri Maliasili na Utalii Josephat Hasunga, akizungumza na wananchi waliyohudhuria kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi waliyohudhuria wakati wa kufunga Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Waziri wa HabariUtamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe, akipiga makofi, wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, kulia ni Naibu Waziri Maliasili na Utalii Josephat Hasunga
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Msanii Ali Kiba, kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.