Habari za Punde

Balozi Ali Karume atembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society Piki, Wete Pemba

 WAZIRI wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akipata maelezo juu ya majani maalumu ambayo wanayopatiwa ngombe na kutoa maziwa mengi kutoka kwa mwenyekiti wakikundi cha Tungwa Corporative Society Khamis Hamad Khamis, wakati alipotembelea kikundi hicho huko Piki Wialaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
 WAZIRI wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Balozi Ali Karume, akiangalia ujenzi wa hodhi la kuhifadhia maji ambapo Wizara yake imechangia shilingi Laki 50000/= katika ujenzi huo, wakati alipotembelea kikundi cha Tungwa Cooperative Society cha Piki Wilaya ya Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 BAADHI ng'ombe wa kikundi cha Tungwa Cooperative Society kilichopo Piki Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwa katika banda lao na wakipata majani(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA) 
WAZIRI wa  Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Balozi Ali Karume akizungumza na wanachama wa kikundi cha ufugaji wa ngombe cha Tungwa Cooperative Society Cha Piki Wilaya ya Wete(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.