Habari za Punde

Balozi wa Japan Nchini Tanzania Azungumza na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Maungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe.Shinichi Goto,alipofika Ofisi kwake katika jengo la Bunge Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Mhe.Shinichi Goto, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.